Ushauri wenu kwa ndugu yetu huyu

Jf bhana watu wa Jf ni mabingwa wa kujifanya wanasamehe wakisalitiwa,Mabingwa wa kutoa mitaji mikubwa mikubwa wa mademu zao,mabingwa wa kuhonga gari na nyumba,hakika Jf kuna watu wastaarabu Sana.
Hakuna mwenye demu mbaya!!! Wote wanachukua mademu wakali!!!
 
bnafs sjaridhik na ushaur wak kwa rafiki yako aise namuunga jamaa kwa maamuz yake apige chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…