Wema Ally Member Joined May 29, 2015 Posts 19 Reaction score 9 Apr 3, 2018 #1 Mwanamke mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi,anaweza kunyonyesha maziwa yake na kuchanganya ya kopo kwa mtoto mwenye miezi2?na kama ukifanya ivyo mtoto atapata madhara gani?msaada wenu plz.
Mwanamke mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi,anaweza kunyonyesha maziwa yake na kuchanganya ya kopo kwa mtoto mwenye miezi2?na kama ukifanya ivyo mtoto atapata madhara gani?msaada wenu plz.
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,588 Reaction score 22,752 Apr 3, 2018 #2 Nendeni kamuone Doçtor kuliko kuja kuuliza huku kijiweni
Wema Ally Member Joined May 29, 2015 Posts 19 Reaction score 9 Apr 3, 2018 Thread starter #3 Billie said: Nendeni kamuone Doçtor kuliko kuja kuuliza huku kijiweni Click to expand... Thnx kwa ushauri.
Billie said: Nendeni kamuone Doçtor kuliko kuja kuuliza huku kijiweni Click to expand... Thnx kwa ushauri.