chibe dayo
Member
- Jun 25, 2022
- 26
- 20
Komaa hapo, pata mtaji fanya biashara yako. Ukifika hapo, Rudi chuoMimi ni mgeni humu JF naomba ushauri kama kijana wa kiume mwenye kuifikiria kesho yake iliyo bora
Nilimalza kidato cha sita mwaka 2021 sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu za kiuchumi hazikua nzuri hivyo niliomba kazi katika supermarket x na kupata. Sasa ni mwaka wa 2 nafanya kazi lakini suala la mimi kurudi chuo lipo akilini na wakati huo pia natamani kufanya maisha nisiendelee kusoma.
Kwenu wanandugu msaada tafadhali
Hiyo six inatosha kwanza kwa sasa,Tafuta pesa uinvest.ukishapata uhakika wa fedha mambo mengine ndo yatafata,wenye bachela wamejaa kitaa wanagombania vibarua vya zege.
Noma sanaHiyo six inatosha kwanza kwa sasa,Tafuta pesa uinvest.ukishapata uhakika wa fedha mambo mengine ndo yatafata,wenye bachela wamejaa kitaa wanagombania vibarua vya zege.
Fanya unachoona kina Matokeo Chanya kwa future yako.
ELIMU NI BORA, KAZI NI BORA.
FANYA VYOTE KWA MPIGO, ILI MAMBO YASIWE MENGI.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Nashkur kakaSoma kwanza Elimu inalipa Sana
Kwel kakachana na mawazo yakusoma utalosti.
Duh kwel ni changamotoHiyo six inatosha kwanza kwa sasa,Tafuta pesa uinvest.ukishapata uhakika wa fedha mambo mengine ndo yatafata,wenye bachela wamejaa kitaa wanagombania vibarua vya zege.