Ushauri wenu ni muhimu, matokeo sio mazuri

tuwe wakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
223
Reaction score
59
Kuna mtu wangu alihitimu kidato cha 4 mwaka 2008 akipata ufaulu wa div.4 ya point 26 na alipata credit 4 ya,Civics B,English C,Kiswahili C na Geography C na the rest yote ni F.

Kwa bahati nzuri alijiunga na Advanced level ambapo aligraduate 2012 na kwa bahati mbaya hakufaulu vzr kwani alipata Subsidiary 2 tu.

Hivyo nipo hapa kuomba ushauri wenu mmshauri aende njia ipi ambayo itakuwa sahii na faida kwake maana bado ana hamu na shule,unfortunately things have changed maana hata ualimu sifa zake zimeshapitwa na wakati.

Nitashukuru kwa kuushauri mtakaotoa.
NAWASILISHA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…