Ushauri wenu ni muhimu

Ushauri wenu ni muhimu

rehehizy

Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
6
Reaction score
1
Mimi ni binti nina tatizo tumbo langu linakuwa kubwa mpaka mtu anaweza jua nina ujauzito naomba mniambie nifanye kitu gani?

Hili liweze kupungua sababu linaharibu umbo langu nisaidieni?
 
Pole sana mamie, kunywa maji ya moto asubuhi na jioni litapungua coz hayo ni mafuta tuu tumboni!
 
Naomba ujibu haya maswali na ujiulize then ujijibu mwenyewe
1. unapendelea misosi gani? (kiepe yai kinahusika hapa najua tu)
2.umejaribu mazoezi?
3.kwan umeacha chipsi unazokulaga?
4.ulikuwaga hivyo hata zamani? kama hamna jiulize kwa nn iwe leo
 
Maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na kijiko cha asali na limao vijiko vya kulia viwili kila asubuhi kabla haujakula
 
nitatizo kwangu pia lazima nijaribu hayo maji ya asali
 
angalia pia na aina ya vyakula na vinywaji unavotumia. Mf. Kitimoto, bia n.k n.k
 
Back
Top Bottom