Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
Habari Wakuu,
Jamani kijana wenu nafanya mpango wa ku-Apply chuo kwa mwaka huu wa 2015/2016. Nimekaa chini na kufikiri baada ya kufanya ka-research kidogo nikaja na mpangilio huu...
1. Civil Eng (Ardhi University)
2. Petroleum Geology (UDSM)
3. Civil Eng (DIT)
4. Enviromental Eng (ARDHI University)
5. Petroleum Eng (UDSM)
6. Civil Eng (UDSM)
Sasa naombeni ushauri wenu, kipi nitoe na kipi nikiweke wapi.
Matokeo yangu ni PURE MATHEMATICS 'A' , PHYSICS 'B+' , GEOGRAPHY 'C'
Tafadhali naomba ushauri wenu u-base kwenye soko, Elimu Bora, na Competition.
Malumbano na dharau sivipendelei kwani havijengi na sio issue.
Nawasilisha.