Ushauri wenu tafadhali... Mpangilio wa faculty

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
3,280
Reaction score
3,789
Habari Wakuu,

Jamani kijana wenu nafanya mpango wa ku-Apply chuo kwa mwaka huu wa 2015/2016. Nimekaa chini na kufikiri baada ya kufanya ka-research kidogo nikaja na mpangilio huu...

1. Civil Eng (Ardhi University)
2. Petroleum Geology (UDSM)
3. Civil Eng (DIT)
4. Enviromental Eng (ARDHI University)
5. Petroleum Eng (UDSM)
6. Civil Eng (UDSM)

Sasa naombeni ushauri wenu, kipi nitoe na kipi nikiweke wapi.

Matokeo yangu ni PURE MATHEMATICS 'A' , PHYSICS 'B+' , GEOGRAPHY 'C'

Tafadhali naomba ushauri wenu u-base kwenye soko, Elimu Bora, na Competition.

Malumbano na dharau sivipendelei kwani havijengi na sio issue.

Nawasilisha.
 
weka petroleum geology ya kwanza,na hio civil ya DIT toa kabisa weka geomatics..but kwa ushaur wng weka petroleum geology hio ndio mpango mzima kuliko hata petr eng..na hio environmental engineering nayo kdg soko lake limeshuka japo sio sana..course best ardhi saiv ni geomatics hio huvundi mtaan hata mwez hukai na kazi zake ni za hela.so panga vzr..ila petroleum geology hio ni ya ukweli sana
 
Conditions on Programme Selection When selecting programmes applicants are required to observe that they:  Can select up to five programmes from different institutions  Cannot select less than three programmes from different institutions  Cannot select more than two programmes from one institution.
 

Mkuu

Utaratibu nauelewa, hizo ni selection zangu ambazo nimezifikiria mkuu.

Ila nashkuru kwa kunikumbusha mkuu!
 
Hivi unaruhusiwa kuomba faculties tatu tofaut chuo kimoja ka jamaa hapo.....(UDSM )

Hapana, Unatakiwa uombe faculty zisizopungua 2 ndani ya chuo kimoja na zisizidi 3...

NB: huo ni mpangilio wangu tuu bado sijachagua kaka!
 
Ya kwanza weka petroleum geology kazi zake za hela halafu ndio iko hot,ukimaliza tuoane huhuhuhu!

Asante kwa ushauri rosebud
Nikimaliza tutaoana huhuhuhuuu......!
:becky:
 
Last edited by a moderator:

Asante mkuu kwa ushauri..But hiyo geomatics inadeal na nn?
Sorry lakin.
 
Asante mkuu kwa ushauri..But hiyo geomatics inadeal na nn?
Sorry lakin.

Geomatics Engineering, Geomatic Engineering, or Geospatial Engineering is a rapidly developing engineering discipline that focuses on spatial information (i.e. information that has a location). The location is the primary factor used to integrate a very wide range of data for spatial analysis and visualization. Geomatics engineers apply engineering principles to spatial information and implement relational data structures involving measurement sciences, thus using geomatics and acting as spatial information engineers. Geomatics engineers manage local, regional, national and global spatial data infrastructures.Geomatics Engineering also involves aspects of Computer Engineering, Software Engineering and Civil Engineering.. - Nimetoa kama ivilivyo wikipedia mdau ili kidooogo upate picha
 

Nilisha isoma ila thanks buddy...!
 

Vp na wewe una-apply this year nn?
 
Asante mkuu kwa ushauri..But hiyo geomatics inadeal na nn?
Sorry lakin.

hii nimeicopy na kuipaste maana nimeona haya maelezo yanjitosheleza....
geomatics is one among the best courses offered at ardhi university.. msuli wake sio wa kitoto. kwa kweli no mgumu. lakini una matunda sana.. geomatics inahusu land surveying, upimaji wa ardhi. inadili sana.. kuanzia chuoni utaanza kupata pata vidili vya watu wanaotaka kupimiwa vipande vyao vya ardhi.. kutafuta hati... au kulocate tu shamba lake au kiwanja chake kujua kina ukubwa gani na features zilizomo.. pia kwenye ujenzi wa projects kama barabara,reli, majengo wakati mwingine, waliosoma geomatics wanahusika sana kulocate na kushauri wakati wa kudesign.. advantage ingine ya hii course ni kua ni rahisi kujiairi. capital yako iko kichwani mwako sana sana.. ukimfanyia mteja mmoja kazi nzuri kesho atakutangaza kwa ndugu zake.. hivyo hivyo your network grows. ni uaminifu tu unaohitajika. hayo ni yangu tu mkuu. i hope nitakua nimekupa mwanga kidogo japokua mimi sio surveyor but i have a lot of friends ambao ni masurveyor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…