ushauri wenu tafadhar kuhusu mimba

Van l

Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
74
Reaction score
12
ivi jamani kwa kutumia ivi vipimo vya mimba ambavyo ni common kwenye maduka meng ya madawa je unaweza kuitambua mimba ya wiki tatu
 
nenda hospital ukapime acha kufanya vitu kwa kubahatisha
 
ivi jamani kwa kutumia ivi vipimo vya mimba ambavyo ni common kwenye maduka meng ya madawa je unaweza kuitambua mimba ya wiki tatu

usichomoe,angalia mzunguko wako,nenda kamuone dr au kliniki
 
Vipimo viwili ambavyo vinaweza kuthibitisha hilo
1.Beta human Gonadotrophic Hormone(a k a UPT) hakikisha mimba ipo siyo chini ya week mbili
2.Pelvic(obstetrics USS) USS kama USS hakikisha iko juu ya week tatu kutoka siku ya mwisho ya kuiona siku yako(LNMP)
Alamsiki ubarikiwe usiitoe
 
ishu cio kuchomoa ishu ni kwamba nataka nipate uhakika coz im xo exited kujua mapema
 
Mimba ya wiki tatu inaweza kuonekana kwa hivyo vipimo vya phamacy below ten days itaonesha slightly positive i mean ule mstari wa pili utakua faint but siku kumi na nne na kuendelea unakua umekolea rangi, best of luck mama kijacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…