Ushauri wenu unahitajika wana jf

Kipis

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2011
Posts
501
Reaction score
79
Nina sister wangu yeye ni mjamzito, uja uzito wake una tkribani miezi kama sita hivi.<br />
<br />
katika kipindi hiki alichokuwanacho, kuna baadhi ya matatizo huwa yanamtokea kama vile kufa ganzi kuanzia maeneo ya kiuno hadi Miguuni. Pia kuna wakati anaishiwa nguvu kabisa. Anaomba msaada wenu kimawazo inaweza ikawa ni ishara gani hizo au ni kawaida tu. Hiyo ni mimba yake ya kwanza.
 
Namshauri akamwone dactar angempa ushauri zaidi
 
Kimbiza haraka kwa daktari huyo usimcheleweshe mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…