Huku nikisononeka naanza kuandika uzi huu.
Kifupi nimejariwa sura yenye midevu, ila katika chaguo la namna ya muonekano nilichagua kuwa nazinyoa na kuacha kidevu cha mbuzi
Mwanzo haikuwa tatizo na huwa nashave saloon. Ilitokea kipindi kimoja baada ya kunyoa vipele vilitokea ,na kujaribu kuvizibithi nilikua natumia spirit daily...
Mwanzoni niliona inanisaidia ,ukipaka inakua flesh. Lakini baada ya Muda mzuki ulichange mazima. Hata nipake nini vipele haviishi.
Nimemeza antibiotic, antfungal na dawa zenye steroid za kutosha, ila tatizo naona kama limegoma
Hofu yangu kadri muda unavyoenda nimeanza kupoteza ujasiri wangu. Coz kila nayekutana nae nahisi kama ananihurumia vipele vyangu.
Dematologist wa mwisho kuonana nae ,licha ya madawa mengi alinitia moyo kuwa hili ni tatizo la ndevu za baadhi za waafrika, ukizinyoa zikiwa zinakua zinachoma na kusababisha vipele .
Wakuu kwangu hili limekua tatizo, hata nikisema sasa ngoja niziache zikue , mipele inanisumbua na zinawasha mbaya.
Karibuni wadau mnipe way foward....coz mipele hii imeondoa credity kwenye u handsome wangu.