Ushauri wenu unahitajika.

Ushauri wenu unahitajika.

Terace

Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
75
Reaction score
98
Heshima kwenu wabobezi wa mambo haya.
Naomba ushauri wenu kwenye kumiliki kati ya hizi gari mbili....ipi ni nzuri na nitaimudu?
Binafsi nafanya kazi kwenye migodi, hivo ningelipenda kuwa na usafiri ambao ntadumu nao kwa muda mrefu unless mtu afike bei na kunivua.


Land Rover RangeRover Evoque 2012/Gasoline/Petrol 1,999 CC/4WD/FULL LEATHER SEATS: BEI HADI BONGO MKONONI TZS 61M
1567341260169.png



1567341283155.png


1567341657349.png






AU HII Diesel Hyundai Santa Fe 2013/RHD/Diesel 2,200 CC/4WD/7SeatBluetooth/Backcamera: BEI HADI BONGO MKONONI TZS 32M

1567341311804.png


1567341365122.png


1567341684900.png
 
Watu hawajaona uzi wako au wanahisi ni chai
 
Ninabaiskeli aina ya kamongo,

Kwa upande wa magari, fuata moyo wako na kichwa chako vinakokutuma. Maana mwenye kuendesha niwewe so usije kununua usichokipenda kisa ulishauriwa.

Kama unayapenda yote yanunue yote.
 
Chukua ya mwaka wa juu 2017 au 18. Hiyo ya 2012 ni nyuma sana. Hata warranty yake itakuwa imeisha.

Asante mkuu...ila ningelipenda kupata more info kutoka kwa watu waliowahi zimiliki hizi kitu. Nilimcheck Kiduku Lilo lakini hakurespond....hopeful atanipa feedback akipatikana.
 
Chukua ya mwaka wa juu 2017 au 18. Hiyo ya 2012 ni nyuma sana. Hata warranty yake itakuwa imeisha.
Warranty inadumu kwa miaka 10 hio bado miaka 3 kuisha. Hapa naongelea factory warranty


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom