Asante mkuu...ila ningelipenda kupata more info kutoka kwa watu waliowahi zimiliki hizi kitu. Nilimcheck Kiduku Lilo lakini hakurespond....hopeful atanipa feedback akipatikana.
Chukua ya mwaka wa juu 2017 au 18. Hiyo ya 2012 ni nyuma sana. Hata warranty yake itakuwa imeisha.
Njoo umsikie kiduku lilo mkuu alichokushauriHiyo Range ya Zamani sana. 2012? No way. Siwezi endesha gari ambayo ime sha expire. Angalau ingekuwa ya 2016. Angalau.
Teh tehChukua ya mwaka wa juu 2017 au 18. Hiyo ya 2012 ni nyuma sana. Hata warranty yake itakuwa imeisha.
Warranty inadumu kwa miaka 10 hio bado miaka 3 kuisha. Hapa naongelea factory warrantyChukua ya mwaka wa juu 2017 au 18. Hiyo ya 2012 ni nyuma sana. Hata warranty yake itakuwa imeisha.
1990 nilinunua hii maeafiki hawakunielewa kabisa sasaahivi nina ya mwaka 2016 nazunguka nayo mjini.Tafuta starlet ya 1990 ziko bomba na hazili mafut