Ushauri wenu unahitajika!

Mcharuko

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
209
Reaction score
172
Habarini, Rafiki yangu kaniomba ushauri. Anasema wanapokuwa
kwenye chakula cha usiku Mumewe hafiki kileleni. Badala yake hutumia
masturbation ili kuweza kukidhi haja zake. Ni jambo ambalo linamuhuzunisha
anajaribu kumuuliza mumewe kama hamridhishi but anamjibu kuwa
amezoea. Ndoa yao ina miezi mitatu tu lakini hilo tatizo limezusha mtafaruku
Je, ni kweli huyu Jamaa hampendi mkewe ndio maana inatokea hivyo?
 
Mcharuko mbona unafíchaficha mambo kama ni wewe sema tu na wala hainaga shida.? Solution hapo ni kuchange maegesho ya magari ama unatakiwa kujaribu kubadilisha mapishi au jinsi ya kula hicho chakula na bila kusahau kubadilisha mikao ya kula hiyo nyama ikibidi hata peleka tonge kule kwenye tope(puani) bila kuogopa makamasi mwisho wake utasikia utamu sana kucheua haraka tu yale maziwa matakatifu nido..?
 
Mh! Mwee!
 
Sio mimi. Mengi kayafanya isipokuwa imeshindikana.
 
Huwezi kuamini lakini nina rafiki zangu kama watatu ambao kutokana na kuzoea sana masterb, hata baada ya kuoa waliendelea na mchezo huo. hata hivyo baadae walikuja kuacha, japo ilichukua mda, na mmoja wao anasema hadi sasa (miaka zaidi ya minne), anajikumbushia kidogo kidogo. So, rafiki yako asijisikie vibaya sana, bali ajifunze maufundi ya kumpagawisha na kumchosha mumewe... Nadhani huyo rafiki yako ana tatizo la kiufundi...
 
hapo kwenye red ushauri huo sikubaliani nao kabisa, mcharuko hilo la huyu jamaa weka pembeni, nahisi huyu ni wale wale mateja wa mtandao wa tigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…