wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Aug 5, 2016 #1 Wakuu poleni na harakati za kutafuta tonge ili mikono ipate kuingia kichwani!! Hivi wakuu!! Ni njia gani ya kutatua maisha tofauti na kutafuta pesa!!ushauri wenuvtafadhali!!!
Wakuu poleni na harakati za kutafuta tonge ili mikono ipate kuingia kichwani!! Hivi wakuu!! Ni njia gani ya kutatua maisha tofauti na kutafuta pesa!!ushauri wenuvtafadhali!!!
Desire Dizaya JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,476 Reaction score 11,659 Aug 5, 2016 #2 mikono ipate kuingia kichwani???
brillnoel JF-Expert Member Joined Jun 12, 2016 Posts 667 Reaction score 652 Aug 5, 2016 #3 anza kwa kufafanua "kutatua maisha" kwa jinsi uelewavyo wewe
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Aug 5, 2016 Thread starter #4 Yaani mambo yaende safi bila hela!!
brillnoel JF-Expert Member Joined Jun 12, 2016 Posts 667 Reaction score 652 Aug 5, 2016 #5 kaishi porini kama TARZAN
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Aug 5, 2016 Thread starter #6 Taznan ndo nini mkuu[emoji134] [emoji134]
WA-UKENYENGE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 2,918 Reaction score 1,234 Aug 5, 2016 #7 Nenda kalime, oa, zaa basi maisha ndo hayo.
torvic JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 3,978 Reaction score 9,841 Aug 5, 2016 #8 kwanza kabla atujaenda mbali ebu tafuta njia ya kutatua sentensi yako... "mikono ipate kuingia kichwani"
kwanza kabla atujaenda mbali ebu tafuta njia ya kutatua sentensi yako... "mikono ipate kuingia kichwani"
S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,644 Reaction score 11,174 Aug 6, 2016 #9 Wanaume wa mikoani hawajui hata kutafuta hela njoo dar tukupe dili.
longi mapexa JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 3,265 Reaction score 4,250 Aug 6, 2016 #10 tozi25 said: Wanaume wa mikoani hawajui hata kutafuta hela njoo dar tukupe dili. Click to expand... tangulini wa stendi wakawa wa mikoani embu usifananishe mikoani na mambo ya kijinga!
tozi25 said: Wanaume wa mikoani hawajui hata kutafuta hela njoo dar tukupe dili. Click to expand... tangulini wa stendi wakawa wa mikoani embu usifananishe mikoani na mambo ya kijinga!