Ushauri wenu wahitajika

Ushauri wenu wahitajika

anania

Member
Joined
Jul 2, 2010
Posts
83
Reaction score
8
Katika hali ya kawaida tunashauriwa kupiga mswaki baada ya kula.ila kwa asilimia kubwa watanzania tulio wengi husukutua mdomo na sio kupiga mswaki.swali ni kwamba yale maji uliyotumia kusukutulia mdomo uyameze au uyateme?
 
ULisikia wapi mtanzania anakufa kutokana na uchafu?
 
Back
Top Bottom