anania Member Joined Jul 2, 2010 Posts 83 Reaction score 8 Jul 2, 2010 #1 Katika hali ya kawaida tunashauriwa kupiga mswaki baada ya kula.ila kwa asilimia kubwa watanzania tulio wengi husukutua mdomo na sio kupiga mswaki.swali ni kwamba yale maji uliyotumia kusukutulia mdomo uyameze au uyateme?
Katika hali ya kawaida tunashauriwa kupiga mswaki baada ya kula.ila kwa asilimia kubwa watanzania tulio wengi husukutua mdomo na sio kupiga mswaki.swali ni kwamba yale maji uliyotumia kusukutulia mdomo uyameze au uyateme?
Mpita Njia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,997 Reaction score 1,172 Jul 2, 2010 #2 ULisikia wapi mtanzania anakufa kutokana na uchafu?