Ushauri wenu wakuu unahitajika

ChaterMaster

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2009
Posts
1,623
Reaction score
803
Baada ya pitapita zangu katika mitandao ya wauza magari nimeambulia kuipenda hii gari
Registration Year / Month1998/07Odometer111,120 kmDisplacement1,500 ccSteeringRightTransmissionAutomaticFuelGasoline/PetrolModel code
EXZ10

It cost US$676 FOB




SASA WAKUU KWA YEYOTE MWENYE IDEAL/USHAURI JUU YA ULAJI MAFUTA, GHARAMA YAKE HADI KUINGIA DSM, SPEAR, ENGINE TYPE NA VINGINE VYOTE TUSHAURIANE MAANA M C MTAALAM SANA.
plzzz msaada wenu kabla sijachukua hatua zaidi.

 
Unaijua kodi ya uchakavu mkuu? kwa mwaka huo 1998 ikifika bandarini lazima hiyo gari utaiacha hapo tu. At least ingekuwa kuan.zia mwaka 2003
 
Unaijua kodi ya uchakavu mkuu? kwa mwaka huo 1998 ikifika bandarini lazima hiyo gari utaiacha hapo tu. At least ingekuwa kuan.zia mwaka 2003
MKUU grafani kwan kwa sasa inalenga kuwa ngap...???
 
Mie naona mara nyingi kuagiza gari moja kutoka nje ni ugonjwa wa moyo,
Ni bora Uende Yard za magari hapo ulipo ununue kitu unachokiona Na kukijaribu,sio kujaribiwa huko na kuletewa huku.
Tofauti ya bei ya huko na hapa sio kubwa ki vile kulingana na uhalisia.
 
Usiogope sana mkuu.
Sometime miaka ya uchakavu na miaka ya usoni unakuta mambo yale yale tu. Sana sana miaka ya karibuni (less than 10years) unaweza kuta kodi ni kubwa ukilinganisha na zile za uchakavu.
Ila mi binafsi nakushauri utafute gari ya 1300cc achana na hilo 1500cc Unless kama unataka kutengeneza urafiki na kisima cha mafuta utii kiu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…