Asasnte kwa kufungua uzi huu.
Mimi binafsi, napenda comedy na nafanya comedy pia (stand up comedy). Japo sijafika stage kubwa mpaka watz wakanijua.
Lakini huwa naona stand up comedians kadhaa kutoka #chekatu na maeneo mengine pia. Sijawahi jua ni namna gani mtu anaweza fika cheka tu au eneo lolote ambalo kuna audition, reg au kujitolea kwa ajili ya perfomamce ili kuonesha alicho nacho.
Kama kuna mtu anaelewa utaratibu ukoje kwa hapa Dar naomba anisaidie π hata maelekezo tu nijue pa kuanzia.
Asanteni sana