Kwenye toyota hapo hujataja toyota gani.Kati ya
1 Nissan hard body
2 Ford ranger
3 toyota
4 voxwagen amarock
Sasa mimi napendelea hard body na wengi wameniambia kama nataka ya kudumu na ngumu nichukue hard body na moto wake sio kidogo na stability yake pia unakata sahani iko stable
Naomba watalamu muje