USHAURI WINDOW 11

USHAURI WINDOW 11

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,368
Reaction score
1,325
Wakuu nilikua naombeni ushauri nina PC nilitaka ku update kwenda window 11 tatizo ni storage ina ssd gb 30 na HDDgb 500 je naweza ifanya HDD kuwa ya window na vip faida zake na hasara za kuachana na SSD iliyotoka na window
 
Kwa sasa bado haijatoka official version ya windows 11 hivyo ukitaka uiupdate basi fanya hivyo at your own risk. Binafsi nimeiweka kwenye pc mbili na sijakutana na changamoto yeyote zaidi ya kusoma keygen nyingi kama false positive au ransomware
 
nachotaka kujua ni umuhimu wa hiyo hdd na ssd. nitatumia insider kupata update
 
SSD ina uwezo wa kuongeza kasi ya computer zaidi ya mara nne.Cha kufanya kanunue SSD nyingine ije ichanganywe na hiyo ulio nayo kisha operating system ya computer pamoja na vitu vingine vihamishwe kutoka HDD kwenda SDD kisha computer yako itakuwa very smooth na utapata kasi ya utendaji wa computer yako zaidi ya mara nne.
 
Ukweli mtupu mkuu. Nilifanya hivyo kwenye pc yangu now najilia tunda kimasihara tu. Kasi Kasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa bado haijatoka official version ya windows 11 hivyo ukitaka uiupdate basi fanya hivyo at your own risk. Binafsi nimeiweka kwenye pc mbili na sijakutana na changamoto yeyote zaidi ya kusoma keygen nyingi kama false positive au ransomware
Sababu win 11 mpaka sasa ni ui changes tu, wameshaonya kwenye Email kwamba update inayokuja ina bugs za kutosha, kama unatumia pc kwa mambo serious uhamie beta chanell
 
Wakuu nilikua naombeni ushauri nina PC nilitaka ku update kwenda window 11 tatizo ni storage ina ssd gb 30 na HDDgb 500 je naweza ifanya HDD kuwa ya window na vip faida zake na hasara za kuachana na SSD iliyotoka na window
Kama kweli hio 30gb ni SSD vyema ui upgrade kwenda 128GB kama mdau huko juu alivyoshauri. Ukisha tumia ssd ukarudi hdd experience itakua mbaya sana.
 
Hivi mkuu ni SSD yenye ukubwa kiasi gani ambayo inatosha kuhamishia operating system ya window pamoja na vitu vingine ili kuongeza performance ya pc?
 
Mkuu kwa storage hiyo kitakachohamishiwa kwenye SSD ni window peke yake?
For what I know, ANYTHING, isipokuwa, wakati hizo "anything" unaweza pia kuzihifadhi kwenye SSD na HDD, for great performance, HAKIKISHA Windows inakuwa kwenye SSD!! Aidha, programs zingine kama za graphics, video editing, na mambo mengine kama hayo, hakikisha zinakuwa kwenye SSD! Rule of thumb ni kwamba, ni matumizi mabaya ya resources kutumia SSD kama storage disk unless kama SDD yako ni kubwa, na hujaweka HDD!!!

Ki-laptop changu ni i5, na hakina HDD, but SSD tena ya 256GB tu lakini performance yake ni kubwa kuliko laptop nyingine ambayo ni i7, HDD 1TB.
 
Mkuu kwa storage hiyo kitakachohamishiwa kwenye SSD ni window peke yake?
Windows inatosha hata ssd ya 64gb, ila ni vyema pia programs muhimu kama browser, photoshop, media player, na nyengine muhimu zikae kwenye SSD, hii inasaidia sana kupata experience nzuri.

Ndio maana unaona watu wengi wananunua kuanzia 256GB, ila 128GB sio mbaya pia kama budget hairuhusu.
 
Shukrani mkuu.
 
hiyo ya gb 128 ni sh.ngapi
 
Back
Top Bottom