Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
nachotaka kujua ni umuhimu wa hiyo hdd na ssd. nitatumia insider kupata updateKwa sasa bado haijatoka official version ya windows 11 hivyo ukitaka uiupdate basi fanya hivyo at your own risk. Binafsi nimeiweka kwenye pc mbili na sijakutana na changamoto yeyote zaidi ya kusoma keygen nyingi kama false positive au ransomware
Ukweli mtupu mkuu. Nilifanya hivyo kwenye pc yangu now najilia tunda kimasihara tu. Kasi Kasi.SSD ina uwezo wa kuongeza kasi ya computer zaidi ya mara nne.Cha kufanya kanunue SSD nyingine ije ichanganywe na hiyo ulio nayo kisha operating system ya computer pamoja na vitu vingine vihamishwe kutoka HDD kwenda SDD kisha computer yako itakuwa very smooth na utapata kasi ya utendaji wa computer yako zaidi ya mara nne.
Ulinunua SSD yenye ukubwa kiasi gani?Ukweli mtupu mkuu. Nilifanya hivyo kwenye pc yangu now najilia tunda kimasihara tu. Kasi Kasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa na HDD ya 600GB. Nikaweka SSD ya 512GB. HDD Naitumia kama external hard drive tu.Ulinunua SSD yenye ukubwa kiasi gani?
Hiyo SSD ya 512GB umenunua kwa sh ngapi mkuu?Nilikuwa na HDD ya 600GB. Nikaweka SSD ya 512GB. HDD Naitumia kama external hard drive tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilinunua kwa jamaa yangu aliagiza china kipindi hicho kwa around 250K nakumbuka mwaka 2020 mwanzoni. Ila kwa sasa bei zimeshuka.Hiyo SSD ya 512GB umenunua kwa sh ngapi mkuu?
Tumia hiyo HDD kama partition ya windows na sio hiyo ssdnachotaka kujua ni umuhimu wa hiyo hdd na ssd. nitatumia insider kupata update
Sababu win 11 mpaka sasa ni ui changes tu, wameshaonya kwenye Email kwamba update inayokuja ina bugs za kutosha, kama unatumia pc kwa mambo serious uhamie beta chanellKwa sasa bado haijatoka official version ya windows 11 hivyo ukitaka uiupdate basi fanya hivyo at your own risk. Binafsi nimeiweka kwenye pc mbili na sijakutana na changamoto yeyote zaidi ya kusoma keygen nyingi kama false positive au ransomware
Kama kweli hio 30gb ni SSD vyema ui upgrade kwenda 128GB kama mdau huko juu alivyoshauri. Ukisha tumia ssd ukarudi hdd experience itakua mbaya sana.Wakuu nilikua naombeni ushauri nina PC nilitaka ku update kwenda window 11 tatizo ni storage ina ssd gb 30 na HDDgb 500 je naweza ifanya HDD kuwa ya window na vip faida zake na hasara za kuachana na SSD iliyotoka na window
Hivi mkuu ni SSD yenye ukubwa kiasi gani ambayo inatosha kuhamishia operating system ya window pamoja na vitu vingine ili kuongeza performance ya pc?Kama kweli hio 30gb ni SSD vyema ui upgrade kwenda 128GB kama mdau huko juu alivyoshauri. Ukisha tumia ssd ukarudi hdd experience itakua mbaya sana.
128GB kama budget ndogo, ila sweet spot ni 256GB.Hivi mkuu ni SSD yenye ukubwa kiasi gani ambayo inatosha kuhamishia operating system ya window pamoja na vitu vingine ili kuongeza performance ya pc?
Mkuu kwa storage hiyo kitakachohamishiwa kwenye SSD ni window peke yake?128GB kama budget ndogo, ila sweet spot ni 256GB.
For what I know, ANYTHING, isipokuwa, wakati hizo "anything" unaweza pia kuzihifadhi kwenye SSD na HDD, for great performance, HAKIKISHA Windows inakuwa kwenye SSD!! Aidha, programs zingine kama za graphics, video editing, na mambo mengine kama hayo, hakikisha zinakuwa kwenye SSD! Rule of thumb ni kwamba, ni matumizi mabaya ya resources kutumia SSD kama storage disk unless kama SDD yako ni kubwa, na hujaweka HDD!!!Mkuu kwa storage hiyo kitakachohamishiwa kwenye SSD ni window peke yake?
Windows inatosha hata ssd ya 64gb, ila ni vyema pia programs muhimu kama browser, photoshop, media player, na nyengine muhimu zikae kwenye SSD, hii inasaidia sana kupata experience nzuri.Mkuu kwa storage hiyo kitakachohamishiwa kwenye SSD ni window peke yake?
Shukrani mkuu.Windows inatosha hata ssd ya 64gb, ila ni vyema pia programs muhimu kama browser, photoshop, media player, na nyengine muhimu zikae kwenye SSD, hii inasaidia sana kupata experience nzuri.
Ndio maana unaona watu wengi wananunua kuanzia 256GB, ila 128GB sio mbaya pia kama budget hairuhusu.
hiyo ya gb 128 ni sh.ngapiWindows inatosha hata ssd ya 64gb, ila ni vyema pia programs muhimu kama browser, photoshop, media player, na nyengine muhimu zikae kwenye SSD, hii inasaidia sana kupata experience nzuri.
Ndio maana unaona watu wengi wananunua kuanzia 256GB, ila 128GB sio mbaya pia kama budget hairuhusu.
256 ninayo used kama utahitajihiyo ya gb 128 ni sh.ngapi