Ushauri : Yanga izuiwe kusajili , haina hela za kulipa mishahara

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426


Kwa huruma kubwa sana naiomba TFF kuizuia timu ya Yanga kusajili wachezaji wapya ili kuipunguzia mzigo wa madeni , iendelee na wachezaji ilionao ili iweze kupunguza madeni.

Nawaasa wachezaji wa ndani na nje ya nchi waepuke kuhadaika na Yanga , hii timu haina hela wala haina mipango yoyote ya kujikwamua
 
hii timu inatengeneza madeni ya kujitakia yaani badala ya kulipa madeni wanaendelea kusajili kwa mkopo ngoja Zahera awafikishe fifa halafu fifa wapitie rekodi zao kama hawajashushwa daraja
 
Wee mbona ni Mjinga kupitiliza, INA maana ukiwa huna hela Leo ndiyo unaacha kufanya jitihada za kupata fedha kesho? Hebu punguza ujinga wako au jaribu kuuficha maana mwishowe hutakuwa mpumbavu.
Ukisoma vizuri uzi wangu kuna mahali nimeandika hivi , nanukuu " WALA HAINA MIPANGO YOYOTE YA KUJIKWAMUA " mwisho wa kunukuu
 
Ukisoma vizuri uzi wangu kuna mahali nimeandika hivi , nanukuu " WALA HAINA MIPANGO YOYOTE YA KUJIKWAMUA " mwisho wa kunukuu
Kujikwamua ni pamoja na kusajili wachezaji wengine. Kumbuka club haiwezi kuwepo bila wachezaji. Sasa jaribu kutafakari kwa making ulichokianzisha hapa jukwaani. Alafu kumbuka katika maisha kuna kupanda na kushuka pia.
 
Cdm utawajua tuu.
.,.... Zimebaki zakuvukia barabara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hivi mwaka ule walibebwa na Yanga Yosso ya akina Ali Yusuph 'Tigana' (RIP fundi), mwaka huu hawana wa kuwaokoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…