Ushauri: Yearning for love

Ushauri wa Kimungu - Mume mwema/mke mwama hutoka kwa Bwana. Kama amepangiwa na Mungu wake ataolewa, kama hakupangiwa basi sio vibaya.

Ushauri wa kidunia - Aitafakari methali inayosema "Mficha uchi hazai"
 
First of foremost have you asked her what is she looking for in a man? Do not confuse romantic love with real love. "God is love" and if she is looking for true love you must start with Him. This way she will learn to love herself first and consequently she will attract men who value her and love her for whose she truly are.

If you do not love yourself you will continue attracting men who abuse you because you get what you believe you are worth. These men attracted to her they're not worthy for her, they are married and they are emotionally cheating on their wives, what betrayal.
Work on yourself first and learn to be a wife then you will attract the right man who will want to be your husband.
 
Ushauri wa Kimungu - Mume mwema/mke mwama hutoka kwa Bwana. Kama amepangiwa na Mungu wake ataolewa, kama hakupangiwa basi sio vibaya.

Ushauri wa kidunia - Aitafakari methali inayosema "Mficha uchi hazai"

Hajaficha uchi ndio maana anatatizika.
 
Nimekusoma mkuu, ninavyomjua mimi ni msichana wa dignity and she knows what she want otherwise angejibebea hayo makumbele.
 
Hiyo sio kweli kama nilivyosema hapo awali, huyu mdada has not been into relationship for so long. Kwahiyo sio wote wako on desperation.
 
Asante mkuu, ushauri muru
 
Eti sitaki PM naona unajitongozesha hapo kijanja.

Kuhusu rafiki yako mwambie akizubaa hata chance ya kuwa 2nd wife ataikosa.

Vi babe's vile vina umri wa miaka 20 vimesha juwa wazi mapenzi mazuri wanayapata kwa watu walio owa, ndo mana wanaume walio owa wanaringa siku hizi totoz kila kona zinawalilia :cool2:
 
Eti sitaki PM naona unajitongozesha hapo kijanja.

Unanitia Jazba wewe kaka, sijui kwanini. Let me spell for you, I don't need anyone's PM kutongozwa. Haya si matawi of your likes, so kaa pembeni.

She is not so desperate otherwise angebeba kama wewe....
 
Bado hautaki PM eheee...basi nitamtuma Smile kwa niamba yangu mimi...lol

Hahaha, itabidi nichukue commision for being Agent. Tengeza CV yako halafu itafikiriwa lol
 
Unanitia Jazba wewe kaka, sijui kwanini. Let me spell for you, I don't need anyone's PM kutongozwa. Haya si matawi of your likes, so kaa pembeni.
Did someone send you a private message ya kukutongoza?
She is not so desperate otherwise angebeba kama wewe....
Hahaha mwambie I'm not interested in a 30 year old woman, angekuwa 18-25 ningemfata mpaa pale ofisini kwao na pajua sana :cool2:
 
sio lazima wote tuolewe....kama unaona hauko lucky upande huo wa kuolewa sioni haja ya kulazimisha and be unhappy for the rest of your life,kama ni watoto mwambie aadopt baaasi...............
 
ushauri wangu ni kuwa kama ana gari basi alipaki kwanza
atumie daladala kwa shughuli zake za kila siku....hasa kwenda na kurudi kazini
hapo atakuwa anakutana na watu weengi kila siku
na wale waoga wa mwanamke mwenye mafanikio watajitokeza pia...
apunguze makeke ya pesa na kwenda shule....
 
Bosi your right but daladala hizi hizi za dar es salaam kazini si utafika umechafuka daily, the things is to kujichanganya sana harusini, church and so on, but ukizoea usafiri binafsi kupanda daladala ni adhabu kubwa sana hasa asubuhi na jion na una ratiba muhimu maana hazina uhakika
 
no guarantee kwa ushauri wowote utakaotolewa hapa zaidi ya yeye kujikabidhi kwa Mungu na ndoto na mahitaji yake!
 
ukiwa hujanywa gongo unamwaga mapwenti.
 
Did someone send you a private message ya kukutongoza?

Soma comments zako za awali, uone utumbe ulioandika

Hahaha mwambie I'm not interested in a 30 year old woman, angekuwa 18-25 ningemfata mpaa pale ofisini kwao na pajua sana :cool2:

She isn't either interest in married man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…