ushauri wangu ni kuwa kama ana gari basi alipaki kwanza
atumie daladala kwa shughuli zake za kila siku....hasa kwenda na kurudi kazini
hapo atakuwa anakutana na watu weengi kila siku
na wale waoga wa mwanamke mwenye mafanikio watajitokeza pia...
apunguze makeke ya pesa na kwenda shule....