Ushauri

tongaline

New Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
2
Reaction score
0
Naomba ushauri au kujua nini kinaweza sababisha mtu ukiamka asubuhi uso macho na vidole kujaa au kuvimba?? Nimechk,sukar,wingi wa damu,malaria,typhd,mkojo ,pressur kila kitu kipo normal naombeni ushauri au nini tatizo??[emoji17][emoji17]
 
Inahitaji kupima jinsi gani figo zinachuja taka, pia kufahamu kiwango cha protein na albumin kwenye damu, pia kifahamu kama kuna protein kwenye mkojo na kwa kiwango gani, pia umri wa mgonjwa, Nephrotic Syndrome yaweza kuwa tatizo..hakikisha unaenda hospi au maabara ya uhakika.

Sent from my SM-N910L using JamiiForums mobile app
 
Mimi ndo nikiamka asubuh leo siku ya pili uso unakuwa umejaa na vidole na miguu.sijawahi pata maumiv shm yyt ya mwili wala kuugua figo. Miaka ni 29
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…