Ushauri

Tish

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
360
Reaction score
209
Nilikuwa addicted kwenye punyeto baada ya kuacha kuna vitu vinanijia kwenye mawazo na vinaninyima raha.Wakati mwingine nasikia hofu,yananijia mawazo mabaya niki waangalia watu nahisi kama wananiongelea Mimi.Sanyingine nikitaka kwenda mahali naingiwa na hofu mpaka hua nahisi kama tumbo linakata.Je wadau mambo haya ni sababu ya hiyo addiction na pia nifanyeje niweze kuondokana na hilo tatizo.Asante
 
Pole sana mkuu, weka nadhiri ya kutokufanya na jitenge kabisa na vichochea ngono...pata muda wa kufanya mazoezi, kujifunza vitu vipya na Pia muone mtaalamu wa saikolojia
 
Pole sana mkuu, weka nadhiri ya kufanya na jitenge kabisa na vichochea ngono...pata muda wa kufanya mazoezi, kujifunza vitu vipya na Pia muone mtaalamu wa saikolojia
Nashukuru sana nitazingatia ushauri wako.
 
tatizo unajifungia sana ndani budaa lazima upige kwanamna hio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…