Amintherace Member Joined May 30, 2015 Posts 6 Reaction score 2 Jun 2, 2018 #1 Wakuu, tupeane uzoefu kuhusu AIM GLOBAL. How they work na vp Hii biashara inalipa au utapeli tu??
okyo JF-Expert Member Joined Mar 16, 2013 Posts 2,003 Reaction score 1,507 Jun 2, 2018 #2 Achana Na huo utapeli mkuu
okyo JF-Expert Member Joined Mar 16, 2013 Posts 2,003 Reaction score 1,507 Jun 2, 2018 #3 Utalizwa Sasa hivi Utaishia pewa midawa tu
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 801 Jun 2, 2018 #4 Biashara hiyo ni kukuza wazo la watu wengine ilihali ukipata tabu kupata faida huku wenye midawa hiyo huko nje wanaishi kama malaika...
Biashara hiyo ni kukuza wazo la watu wengine ilihali ukipata tabu kupata faida huku wenye midawa hiyo huko nje wanaishi kama malaika...