baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,480
- 2,239
Kuna mwezi mmoja na nusu umepita tangu nishiriki na binti mmoja leo nimetumiwa hii kitu sasa najiuliza ni kwel yuko positive na je kuna vitu vinaweza fanyaa aonekae postive wakati ni negative kwa kutumia hiko kipimo ili nikahakikishe mwenyew hospitali ?