Nimelipenda Shuka lilivyo la Kihenga😁😁Kuna mwez mmoja na nusu umepita tangu nishiriki na binti mmoja Leo nimetumiwa hii kitu sasa najiuliza ni kwel yuko positive na je kuna vitu vinaweza fanyaa aonekae postive wakati ni negative kwa kutumia hiko kipimo ili nikahakikishe mwenyew hospital ?
View attachment 974831
Ok trust her! If you trust urself,count on future baby!.Hapana siwez shaur hiloo hata kama nifungwe
Hongera sana mkubwa alafu jike aseeKuna mwez mmoja na nusu umepita tangu nishiriki na binti mmoja Leo nimetumiwa hii kitu sasa najiuliza ni kwel yuko positive na je kuna vitu vinaweza fanyaa aonekae postive wakati ni negative kwa kutumia hiko kipimo ili nikahakikishe mwenyew hospital ?
View attachment 974831
Hahahaa! Iyo kitu yenyewe bro! Hakuna muujiza hapo,hukujipanga nini?usijumize kichwa kuwa karibu nae huyo mama kijacho,jipe muda then leta mrejesho hapa.Nilitaka kujua kama inaweza onesha mistar miwili arafu iwe negative yaan kipimo kidanganye au kama huwa kinasoma hivyoo mtu akiwa na kitu kingine tofauti na mimbaa
Hujaamini nn? Kwani wewe uliambiwa sio riziki?Hapanaa siogopi ilaa nataka nijue maana sijaamin bado
Mm siwez kataa sabb nilishiriki nae sio Mara moja nimtu wangu hua tuna leanaSasa hapo kukutumia tu hiyo (hajasema inamhusu nani) wewe unaanza kuomba ushauri. Je akikuambia anaujauzito wako utafanyaje?
Ushauri wangu ni kuwa tulia, siku akikuambia ni mimba yako kubali na uchukue majukumu yako kama mwanaume.