Ushauri

Baba imekula kwakoo hioo... Injiniaa somaaaa hiyooooo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaa! Iyo kitu yenyewe bro! Hakuna muujiza hapo,hukujipanga nini?usijumize kichwa kuwa karibu nae huyo mama kijacho,jipe muda then leta mrejesho hapa.
Okay ngoja nisubr mkuu mwanaume wa kwel hatukimbiagi mimba hasa zikiwa zinaonesha kutuhusu
 
Angakia usije kuingizwa mkenge ukasomewa vipimo sioo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Injinia huyoo balaa
 
Hapanaa siogopi ilaa nataka nijue maana sijaamin bado
Kwann usiamini kwan huna uwezo wa kuzalisha? cha muhimu ni kupata uhakika kama ni yako na hujabambikiwa basi, hivyo vipimo vinaonyesha kitu kimo kinapumua.
 
Mama ndiye mwenye kujua baba mzazi wa mtoto......
pokea zawadi ya funga mwaka,ukikataa atapewa boya mwingine
 
Wewe ulivokuwa unatoomba Na kukojoa huko ulitegemea nini? Hukusoma biology.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…