Kwa kuanzia wewe ni Ke/MeHivi ni biashara gani mtu anawezaa kuifanya akiwaa na mtaji wa million moja...na ikasimama kwa muda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
WakiumeKwa kuanzia wewe ni Ke/Me
maana hizo ni moja ya factor.
so be specific au kama vipi njoo pm tuyajenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Location yako ni wapi?
Dar...single...najitegemeaaLocation yako ni wapi?
VIP,Unaishi kwa wazazi au unajitegemea?
unayo familia au upo single?
haya ni mambo ya kuzingatia kabla hatujaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
una plan ya kufanya biashara ya aina gani?
Nenda kwa Azam Group (SS Bakhresa) hapo kuna bidhaa utapa bei za jumla nafuu... baadae wewe utauza kwa bei ya rejareja...!!Hivi ni biashara gani mtu anawezaa kuifanya akiwaa na mtaji wa million moja...na ikasimama kwa muda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh zote nawezaa kufanya....anawezaa tembeaa mikoaauna plan ya kufanya biashara ya aina gani?
kutembea. au ya kuwa subiri wateja?
je,unaweza kutoka nje ya mkoa?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bidhaa kama??Nenda kwa Azam Group (SS Bakhresa) hapo kuna bidhaa utapa bei za jumla nafuu... baadae wewe utauza kwa bei ya rejareja...!!
jipange vizuri.., hakika utaanikiwa!!
Good Luck na heri ya mwaka mpya.
Aaah jamani..! Bidhaa zipo nyingi .. Sasa wewe Ona kinachotumika sana bidhaa zilizopo ktk uwezo Wa raia Wa hali ya Wastan!!