Osmokalu Senior Member Joined Nov 13, 2015 Posts 186 Reaction score 148 Apr 10, 2019 #1 Naomba kuwauliza damu iliyo vilia inatakiwa kukandwa na maji ya moto au barafu?
NZURI PESA JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 5,958 Reaction score 2,954 Apr 10, 2019 #2 Osmokalu said: Naomba kuwauliza damu iliyo vilia inatakiwa kukandwa na maji ya moto au barafu? Click to expand... Barafu na ukandaji wake weka Hilo barafu kwenye kitambaa cha taulo au Nguo yoyote ndio ukande barafu likiwa limefungwa kwenye kitambaa hicho
Osmokalu said: Naomba kuwauliza damu iliyo vilia inatakiwa kukandwa na maji ya moto au barafu? Click to expand... Barafu na ukandaji wake weka Hilo barafu kwenye kitambaa cha taulo au Nguo yoyote ndio ukande barafu likiwa limefungwa kwenye kitambaa hicho