Ushauri,,,,,,

sio vibaya kumjulia hali. kwani mligombana?
 
Atakuwa ametia akilini kwa sasa!
Kama vipi mcheki na M-Pesa 50 bucks bila maneno mengi, mwambie POLE tu, mwenyewe utashangaa jinsi atakavyobadilika kwenye comm skills!
 
Msaidie kama unamoyo wakusaidia,na hata akitaka mapenzi kwasababu umemsaidia usikubali kwani pesa utakayo toa sio thamani ya wewe kumnunua mpe kama unamsaidia kama kweli unayo nia....
 

tenda wema nenda zako........................usisubiri shukrani ingawaje hisia zako kuwa hana msaada zaweza kuwa siyo sahihi............nia uhakika hayuko pekee yake na ndiyo maana hakukuthamini...........
 
Kweli msaidie kama unaweza
hata akitaka kurudi usikubali
atakutesa baadae maana ahakufeel for real
 
Ok, inaonekana kweli ni vyema kumjulia hali,
 
Huo msaada c upelekee watoto yatima mkuu?
 
Huo msaada c upelekee watoto yatima mkuu?

jaman hata yy una mfaa ni muhanga wa mafuriko pia amekir atakuwa financially unstable.
msaidie 2 mwaya, tenda wema nenda zako, usiexpect lolote kutoka kwake.
mary x mass.
 
wakati huu ana matatizo msaidie kama unavyosaidia wengine. Mjulie hali kuhakikisha amesurvive. Kumbuka akufaae kwa dhiki ndio rafiki
 
Mbali ya wapi,mkoa au nchi,kaka? Kama upo dar popote pale si mbali na kigogo,HILO MOJA.pili unaishi kwa hisia? kwa nini uhisi amepigika wakati mwenyewe ulishasema kuwa hajibu wala kupokea simu.Kama amelipata lijamaa liko fresh,si unajua watoto wa dar! Tatu,nashauri cheki naye sijui kwa njia gani,mana umesema simu hapokei wala sms hajibu au tumia jamaa yako wa karibu kujua anaendeleaje au tia timu mwenyewe maskani kwake kwani najua ni msimu wa likizo huu.Asante!
 

tenda wema usingoje shukrani kwa shukrani ya punda ni mateke..x2

mkuu kama vipi jifanye slaa utoe tamko la kumtoa ili ajihifadhi kwa hadha iliyompata na je kama ni mmoja kati ya wale 31..
 
wee kijana ebu wema nao usizidi....wewe kwanza kulingana na statement yako una assume kuwa hayupo sawa.
sasa unaweza jipeleka kichwa kichwa mwenzio akachukulia kuwa umemdharau......alafu ya nini kujipeleka ambako hutakiwi bana. potezea nenda kajali wengine
 
Sina mazoea ya kisasi ,Hatukugombana isipokuwa nilihisi najipenedekeza nikapotea tu.

ooh! Inawezekana hisia zako zimekutuma vibaya. Ungeongea nae kujua tatizo ni nini. Hlf kujipendekeza kwa mpenzi wako mbona shwari tu. Ndio mapenzi yenyewe hayo.lol
 

Mtafute kwanza ujue hali yake...pengine ni mmoja kati ya waliofariki huwezi jua. Ukimkuta hai, bukheri wa afya then fanya vile moyo wako unakutuma...then ondoka wala usisubirie malipo.# Huo ndio utu na wema.
 
Kama una nia yakumsaidia we msaidie tu mkuu, ni sawa na utakavyowasaidia wengine!
 
Kwani kakuomba msaada?pengine kunanjemba anatoa msaada angalia mambo mengine kama unamsaada wowote wa wahanga wasilisha kwa mkuu wa mkoa utafika.
 



Mkuu nipo nje ya nchi,

Nitamcheki tu simu anapokea,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…