Ushauri,,,,,,

ooh! Inawezekana hisia zako zimekutuma vibaya. Ungeongea nae kujua tatizo ni nini. Hlf kujipendekeza kwa mpenzi wako mbona shwari tu. Ndio mapenzi yenyewe hayo.lol



Da! unanitia moyo ingawa mi naona ni patupu tu hapo ,naona unataka nitendwe nje kuwalilia hapa lol!anyaway namcall
 

Sidhani km unahitaji ushauri juu ya hili, km ana shida msaidie tu ila usingoje shukrani. Mungu ndiye atakayekulipa wema utakaokuwa umeutenda!
 

we msaidie kaka,ila wasiliana nae kwanza.
 
Hapo kijana utaumia sana hasa utakapomsaidia huku unaendelea kuwa na interest nae then later on unagundua anaolewa nawewe bd unampenda dah itakulaje kwako Mangi....!!!!! Achana nae aisee
 
USHAURI WANGU- kama kwei yupo ktk shida na uwezo wa kumsaidia unao,MSAIDIE,kama wanadamu wengine. maana na wewe ujui utasaidiwa na nani mbele ya safari
Suala la mapenz usitegemee hapo, hana mapenz na wewe. usilazimishe kujiumiza
kama umekuwa ukimpigia simu na sms, hajibu. waste not your time, sababu haupo kwenye moyo wake
 
Hapo kijana utaumia sana hasa utakapomsaidia huku unaendelea kuwa na interest nae then later on unagundua anaolewa nawewe bd unampenda dah itakulaje kwako Mangi....!!!!! Achana nae aisee



Hilo nalo neno, but let me be more humany ,but inaonekana bongo mawasiliano ni mabaya leo maana calls zote haziingii kabisa.
 
Kwani ni wakaazi wote wa kigogo wameathirika na mafuriko? Halafu unajuaje kama bado anaishi kigogo? Si ajabu alihamia masaki kitambo! Wewe mpigie. Muambie u were concerned na mafuriko na ulikuwa unamcheki kama yuko ok. Kama ameathirika muulize if there is anyway u can help. Utatolewa baruti ndo ushangae!
 

Ok sister,let hope that she's gone 2 massaki lol!

Real,nyumba yao ilikuwa bondeni hadi mwenyewe naona possibility ya kuathirika ni kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…