Ushauri

Ushauri

Langu

Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
37
Reaction score
9
Jamani naumwa mafua ila na viungo vya mwili vyote nahisi maumivu na baridi,hivi yaweza kuwa mafua tu ndo sababu kila kiungo najisikia vibaya?
 
Jamani naumwa mafua ila na viungo vya mwili vyote nahisi maumivu na baridi,hivi yaweza kuwa mafua tu ndo sababu kila kiungo najisikia vibaya?

Uwezekano wa kuwa ni mafua tu ni mkubwa, kwa sababu baadhi ya mafua yanaleta homa kali, viungo na kichwa kuuma sana nk.
 
yawezekana ni mafua tu,drinks a lot ,dawa ya maumivu na pata usingizi wa kutosha ni tiba nzuri
 
Back
Top Bottom