Langu Member Joined Nov 20, 2011 Posts 37 Reaction score 9 Apr 13, 2012 #1 Jamani naumwa mafua ila na viungo vya mwili vyote nahisi maumivu na baridi,hivi yaweza kuwa mafua tu ndo sababu kila kiungo najisikia vibaya?
Jamani naumwa mafua ila na viungo vya mwili vyote nahisi maumivu na baridi,hivi yaweza kuwa mafua tu ndo sababu kila kiungo najisikia vibaya?
kamili JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,217 Reaction score 853 Apr 13, 2012 #2 Langu said: Jamani naumwa mafua ila na viungo vya mwili vyote nahisi maumivu na baridi,hivi yaweza kuwa mafua tu ndo sababu kila kiungo najisikia vibaya? Click to expand... Uwezekano wa kuwa ni mafua tu ni mkubwa, kwa sababu baadhi ya mafua yanaleta homa kali, viungo na kichwa kuuma sana nk.
Langu said: Jamani naumwa mafua ila na viungo vya mwili vyote nahisi maumivu na baridi,hivi yaweza kuwa mafua tu ndo sababu kila kiungo najisikia vibaya? Click to expand... Uwezekano wa kuwa ni mafua tu ni mkubwa, kwa sababu baadhi ya mafua yanaleta homa kali, viungo na kichwa kuuma sana nk.
E Eugeniafaith Member Joined Apr 3, 2012 Posts 87 Reaction score 30 Apr 14, 2012 #3 yawezekana ni mafua tu,drinks a lot ,dawa ya maumivu na pata usingizi wa kutosha ni tiba nzuri