Ushauri

Tatizo le2 ha2jiulizi 2napoanzisha frndshp. Hilo swali ungejiuliza mapema ungepata sln. Bt nw ts 2 late.
 
usikilize moyo wako unasemaje katika hilo;kisha changanya na zako.
 

:biggrin::biggrin: wala usiwe na hofu kua utaolewa bana....we mwenyewe huyo mwanamke unamjua so utaweza kujua kama mtaelewana au vipi...age sio issue, unaweza pata mwanamke wa 19 akawa ana maishuz ukakimbia..mwanamke kama anakupenda kweli atakuchukulia wewe kama mwanaume wake hata kama huna kazi na atakuheshimu vizuri tu na atakua anakutunza kwa hela mpaka hapo utakapopata kazi yako wewe. Mwanamke akikupenda anaweza hata mshahara wake wote akawa anakupa wewe...so wala usiogope swala ni kwamba mnapendana kwa dhati hilo ndio muhimu na wewe tu ndio unajua hilo
 
Ninachokifiria ni kwamba itakuwa una dem mwingine ambaye umempenda na huyo mwl huna mpango naye sasa kwa kuwa unajiona unaelimu kubwa lzm umtafute unayeendana naye, sababu huna vigezo vya msingi ambavyo vitakufanya ushindwe kumuoa eti umri (25 sawa).:behindsofa:
 
kamata jiko hilo fasta tatizo liko wapi wewe adam na eva walipishana siku na sio miaka kamata goma hilo au tatizo ni kupendana kiasi nini..
Hapo pa adam na eva kaka utakua umeingia chaka maana adam alichukua mda ndio mungu akaona amtafutie mtu wa kufanana nae wa kuweza kukaa nae waweze kuvitawala viumbe vyote vilivyopo ulimwenguni pia case ya mda siku moja ya sasa huwezi kufananisha na mda wa mungu kaka!
 

Kaka swala la kuoa ni kitu sensitive sana kama unaona kama huyo mwanamke hayupo moyoni mwako tena ni bora ukamweka pembeni,sababu utakapo chukua uamuzi wa kutangaza ndoa wakati upendo wako kwetu for some percent umeshuka itakuja kua kero kwako pamoja na kwake pia coz hatoyapata aliyo kua anayatarajia kwenye ndoa yenu! Ila swala la umri kuwa sawa it's not a big deal!
 
ukweli ni kwamba mapenzi c miaka z how u love someone so ucjali kuhusu miaka au amekaa mda gani kazini angalia jinsi gani anavyokupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…