Ushauri

Ramadhan js

New Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Nimeumwa gono zaidi ya Mwaka mda wote nilikua natumia dawa lakini huwa napata mafuu tu.Nilikuwa naomba ushauri na ikiwezekana dawa ambayo inaweza kuniponya.
 
nenda hospitali haraka gono la muda mrefu huleta ugumba usione haibu mkuu
 
Upo sehemu gani ya nchi? Kuna maabara nzuri naifahamu hata majani ya kiasili yapo. By the way pole sana.
 
Duu, pole sana! Nenda hospital haraka sana watafanya vipimo zaidi. Usikubali kunywa dawa bila ya 'CULTURE AND SENSITIVITY' ya sample yako kufanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…