Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kunenepa ni gharama + na -. Miaka siyo muhimu sana: muhimu ni urefu na uzito wako. Ila kuna wataalamu hapa watakusaidia. Anza na huyu MziziMkavu.naomba misaidie nifanye nini ili ni nenepe nina 22yrs na nina kilo49
Mkuu wajingawatu kama sijampa dawa ya kunenepa kwanza kabisa nilitaka kujuwa huyu mkuu.@masnai ni Mwanamke au ni Mwanamme? na anamezaliwa tarehe gani na mwezi gani ndio ninaweza kumpa ushauri atumie chakula gani ili aweze kunenepa?ninaomba kwanza hayo majibukunenepa ni gharama + na -. Miaka siyo muhimu sana: muhimu ni urefu na uzito wako. Ila kuna wataalamu hapa watakusaidia. Anza na huyu MziziMkavu.
naomba misaidie nifanye nini ili ni nenepe nina 22yrs na nina kilo49
kunenepa ni gharama + na -. Miaka siyo muhimu sana: muhimu ni urefu na uzito wako. Ila kuna wataalamu hapa watakusaidia. Anza na huyu MziziMkavu.
Mzee NG`WANA ONG`WA DOYI mimi nilikimbia hesabu toka nikiwa s/msingi; hivi huu urefu wangu wa 1.85m kuugeuza kuwa meter square ninafanyaje mkuu? mimi nilijua unauchukua urefu wako in meter kama ulivyo i.e weight/height(m) = BMI.kabla ya kuanza kutafuta njia za kuongeza unene ni vema ujue boby mass index hii itakusaidia kujua kama uzito wako ulionao ni kidogo sana,uko kawaida au uzito umezidi unaotakiwa kuwa nao.kama uko normal usihangaike kuongeza unene/uzito maana waweza kukuleta matatizo.formula hii hapa.
uzito wako(kg)
__________________ =body mass index
urefu uwe kwenye metre sq.(mxm)
Kwa kuangalia sasa maelezo hapo chini utajua kama unahitaji kuonzeza unene wako ama la.uzito wa kawaida ni boby mass index 18.5-25.
[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH]Category[/TH]
[TH]BMI range – kg/m[SUP]2[/SUP][/TH]
[TH]BMI Prime[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Very severely underweight[/TD]
[TD]less than 15[/TD]
[TD]less than 0.60[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Severely underweight[/TD]
[TD]from 15.0 to 16.0[/TD]
[TD]from 0.60 to 0.64[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Underweight[/TD]
[TD]from 16.0 to 18.5[/TD]
[TD]from 0.64 to 0.74[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Normal (healthy weight)[/TD]
[TD]from 18.5 to 25[/TD]
[TD]from 0.74 to 1.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Overweight[/TD]
[TD]from 25 to 30[/TD]
[TD]from 1.0 to 1.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Obese Class I (Moderately obese)[/TD]
[TD]from 30 to 35[/TD]
[TD]from 1.2 to 1.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Obese Class II (Severely obese)[/TD]
[TD]from 35 to 40[/TD]
[TD]from 1.4 to 1.6[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Obese Class III (Very severely obese)[/TD]
[TD]over 40[/TD]
[TD]over 1.6[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mzee NG`WANA ONG`WA DOYI mimi nilikimbia hesabu toka nikiwa s/msingi; hivi huu urefu wangu wa 1.85m kuugeuza kuwa meter square ninafanyaje mkuu? mimi nilijua unauchukua urefu wako in meter kama ulivyo i.e weight/height(m) = BMI.