Baby, ungeanza na kubrowse hili jamvi la ujasiriamali kwanza. Halafu upate idea rougjly ni mambo gani unaweza kufanya kwa urahisi kutokana na resources ulizonazo. Mfano kama unawaza kulima itabidi uwe na ardhi ama uwe na budget ya kukodi ama kununua. Kufuga halikadhalika.