Ushauri

Joined
Aug 1, 2013
Posts
60
Reaction score
1
Wale wanaodharau wanaoenda kusoma education ajue ya kwamba hadi hatua aliyofika ni kwa juhudi za mwalimu..ujue kwamba ulizaliwa bila kujua chochote kuhusu elimu ..lakini mwalimu wako alikufunza herufi,mwandiko,hesabu ndipo ukafika hatua uliyofika......umwombe mungu wako akusamehe kwani hizo ni laana za kujitakia....so take care mnaoropoka bila kufikiria .jf the home of great thinkers na sio home of mentaly ill people.
 
Umenena kiongozi sema hawa vijana wetu siku hizi kichwa ngumu.
 
hapo umenena! Ila walimu hasa mliomo humu jf na nyinyi inabidi mujiheshimuu kwenye kuchangia maada i mean tumieni busaraa hasa mkuu Molembe! Yangu ni hayoo tuu,
 
Last edited by a moderator:
hapo umenena! Ila walimu hasa mliomo humu jf na nyinyi inabidi mujiheshimuu kwenye kuchangia maada i mean tumieni busaraa hasa mkuu Molembe! Yangu ni hayoo tuu,
ndio*
busara ni vizuri itumike katika kila jambo akikosea mtu sio lazima umjibu hovyo .ni suala la kumwelekeza/kumrekebisha kisomi...
 
Last edited by a moderator:

umeongea point sanah..ila sasa ndugu yangu ualimu ni ualimu 2 hauwez ukawa kama u-engeneer ama u-daktar hata ufanyaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…