Unajua unapotaka kufuga izo mambo kuna issues kadha wa kadha inabidi uziangalie.
1. Je maeneo hayo ni mbali na watu ,especially watu wa imani? Weka mbali na jumuia za watu ,makazi.
2. Je upatikanaji wa maji na chakula upo? Hawa wadudu wanahitaji maji kwa matumizi mbalimbali ,kuosha nyumba zao kunywa kuwasafisha. sasa angalia upatikanaji wa pumba mfano za mahindi ni wa kulidhisha kati ya Iringa ,Mafinga ukilinganisha na Pwani?
3. Angalia soko la wadudu wako pindi wanapomature. Je una soko la kuridhisha kati ya maeneo hayo uliyotaja? Fanya feasibility study ya soko kati ya maeneo yako uliyotaja.
4. Ngoja waje wataalamu wakuelezee zaidi.