Ushauri

Ushauri

ludevu junior

Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
7
Reaction score
1
Nataka kujiendeleza kielimu lakini sijui nisomee fani gani ambayo ina soko la ajira la uhakika? Binafsi nimefanya QT 2010, na nikachukua Foundation course pale Open University kwa ajili ya kusomea sheria lakini naona kama itanisumbua mpaka nije kujulikana. Hivyo nafikiria kusomea IT and Architecture.
 
hapo mwisho wa kufikiri
 
Just think of anything that you will be able to do it throughly.
Do something of your tallent, you will do great!
 
Are u a lady? sorry kama ni lady its gud kujihusisha na fashion and beauty... jus ukiwa na elimu hiyo ni nzuri
 
Back
Top Bottom