Nataka kujiendeleza kielimu lakini sijui nisomee fani gani ambayo ina soko la ajira la uhakika? Binafsi nimefanya QT 2010, na nikachukua Foundation course pale Open University kwa ajili ya kusomea sheria lakini naona kama itanisumbua mpaka nije kujulikana. Hivyo nafikiria kusomea IT and Architecture.