Kama umeshika vicks ,essential balm au dawa ya kuchua misuli vidoleni mwako epuka kabisa kushika macho au sehemu za siri kama hujanawa mikono yako kwa sabuni
na kama kwa bahati mbaya imekutokea hivyo wahi kwenye maji mengi kama ni jicho usilifikiche bali limwagie maji mengi kama ni vyombo viloweke kwenye beseni la maji ikibidi yawe baridi