Ushaurii wa biashara ya kuuza baskeli

kiboko samson

Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
73
Reaction score
74
Kwa amabaee anaelewa Biashara hii namna ya kuagiza mzigoo toka Japan moja kwa moja na garama zake anaisaidiee maana mahitaji kuagiza moja kwa moja
 
Majibu ya swali lako nahisi yatanifaa hata mimi. Ngoja ni-subuscribu.
 
Kwa amabaee anaelewa Biashara hii namna ya kuagiza mzigoo toka Japan moja kwa moja na garama zake anaisaidiee maana mahitaji kuagiza moja kwa moja
Unataka kufanya Biashara ya Used ama mpya kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…