Ushauru juu ya vijana wangu na matokeo yao ya kidato cha 4 mwaka jana na utata wa post zao

Dupe

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
1,668
Reaction score
811
No. S0324/0061

Sex::- M

GPA:- 2.6

CRASS:- MERIT

DETAILS SUBJECT
CIV - 'E' HIST - 'C' GEO - 'B' KISW - 'B' ENGL - 'B+' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D'

Amemaliza Lindi Sec School ila kachaguliwa kwenda shule ya Lyamungo wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kombi HGE.

=========================

NO:- S0324/0048

SEX:- M

GPA:- 1.6

CLASS:- CREDIT

DETAILS SUBJECT
CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'E' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'C' COMP STUD - 'E' B/MATH - 'D'

Huyu hajachaguliwa kabisa licha ya kuna matokeo hayo hapo juu.

TANZANIA TUNALALAMIKA JUU YA WANAFUNZI WA SAYANSI ILA MBONA TUNAWAVUNJA MOYO WATAALAMU HAWA …??
 
uyo wa kwanza ni sawa kupangiwa HGE iyo economics ataenda kuanza kusoma huko huko ila uyo wa pili CREDIT B kwa sasa hivi ni kama C ya zamani kutokana na mfumo kubadilika utaona jinsi ilivyomezwa,kwenye grade mpya kuna A,B,B+,C,&E. utaona kwenye mtiririko huo C=4 kwahiyo ukiwa name C tatu=12 ambapo unakua ujakidhi kuchaguliwa


pole sana kwa kuwekwa njia panda name grade mpya. hii ndo serikali yetu
 

wa kwanza ni sawa kabisa__HGE, wa pili kulingana na ushindani matokeo hayamruhusu comb za sayansi kwa sababu serikali inawapa nafasi ya upendeleo wanaosoma science hivyo wanachaguliwa wengi sana na competition inakiwa kubwa, mimi wakati nasoma advance darasa letu la PCB ndio tulikuwa wengi sana kuliko comb nyingine zote pale shuleni, tukifwatiwa na PCM, shule ilikuwa na zaid ya comb 6, hivyo mwanao kapitwa na wenzake na bahati mbaya sana hata masomo ya art kafeki sasa ndio maana wameshindwa hata kumpangia comb za art.
 
Asanten wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…