Umenikumbusha juzi kati jirani alikua anazipika,akaniita nisaidie kuzifunga.Dah Kila nikifunga lazima Kona ibaki wazi.Kiufupi nilishindwa kama wewe.Napenda sambusa. Siku moja nikaona sio mbaya nikijipikilisha mwenyewe sambusa zangu kwa mara ya kwanza
Nikanunua nyama,manda na mazaga mengine Aise kuifunga ile sambusa ilikuwa ni moja ya mtihani mkubwa sana kwangu
Ajabu nikiangalia videos za watu wanavyoifunga naona ni rahisi lakini mie nilikuwa naishia kutetemeka mikono π
Nikijaribu kuifunga iwe na shape ya sambusa kuna kaupenyo kanabaki huku kwenye kona ya sambusa loh!!
Umenikumbusha juzi kati jirani alikua anazipika,akaniita nisaidie kuzifunga.Dah Kila nikifunga lazima Kona ibaki wazi.Kiufupi nilishindwa kama wewe.