Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 651
Heshima kwenu wakubwa na wadogo
Katika ulimwengu wa sita kwa sita binadamu huwa tunakua wadhaifu sana na inafikia wakati kutokana na raha ya tendo unaweza muhaidi mpenzi wako kwamba utampatia vitu flani ambavyo kiuhalisia wala huna uwezo navyo na yote hii husababishwa na zile raha tuzipatazo ndani ya ulimwengu wa sita kwa sita.
Majuzi nilikua na mchuchu mmoja tukivunja amri ya sita sasa mzee mzima nikabeba dhana zangu za kutosha kabisa mana sikutaka kabisa kupiga dry sababu mimi na yeye wote hatujapima kujua afya zetu na hata tungekua tumepima HIV bado kuna magonjwa mengine ya zinaa mbayo ni hatari pia.
Baada ya round ya kwanza nikaona mtoto anataka kavukavu nikamwambia No No No akaniuliza inamana huniamini au unahisi mimi nina UKIMWI nikamwambia hapana sina maana hiyo ila hata wewe hupaswi kuniamini kiasi hicho mana kinga inatusadia kujikinga na magonjwa ya zinaa na vilevile inatuepusha na mimba zisizotarajiwa....mtoto wa kike akanibembeleza weee lakini nikakomaaa mwanzo mwisho na nilifanikiwa kutopiga dry ingawa dry ina raha yake lakini linapokuja suala la magonjwa aisee ni kukomaa tu na mpira mwanzo mwisho.
Asilimia kubwa ya sisi wanaume ni ngumu sana kuendelea kuwa kwenye msimamo hasa tunaposhawishiwa na watoto wa kike lakini kama unajari afya yako ni rahisi sana kusimama kwenye kile unachokiamini.
Je wewe mdau wa JF ushawahi kukutana na hali kama hii ukiwa kwenye ulimwengu wa 6×6 na mwenzi wako ?