Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Nilijuaga hivi visa ni kwenye bongo movie tu😂
Binti mzuri, chocolate skin, honest looking, very simple hadi alikuaga ananiamsha usiku tusali ahah mtoto yule wa kilokole😂
Nilimjulia wakati anaishi kwa shangazi yake (shangazi na mmewe wana uwezo wa kifedha), ndio nikaanza kurusha kamba huku tukiwa tunaendelea kujuana, mtoto akaitika, nikajisemea huyu ndio 3 to 4 years, am gonna marry her, by the time nilikua mpambanaji najitafuta, still hustlin in family b'ness.
Ghafla mrembo akaanzq kuwa mkaidi, kunipelekesha, kauli za kujiona matawi (wakati kwao ni apechi alolo) na yale maswali ya future yake itakuaje, mara hataki kuja kununuliwa pedi na mama mkwe 😂😂😂, mara nipeleke n shule nikasomee bra bra kama kweli unanipenda😂😂
Little did i know, kumbe anani challenge anayo kuwa promised na bwana yake mwingine , ambae, ni mme wa shangazi yake, ndio mme wa shangazi yake, alikuwa anatokan ane kisiri. Masikini shangazi yake ndio wakati huo sukari imeanza kumsumbua.
Aisee i was frustrated, ila ni miamba tu inaweza kujitoa katika mahusiano toxic, vijana wala chips, watazidi kuandika nyimbo za bongo flava, ila niliangushwa chini kwa kweli ila nikakumbuka Mungu ameniepusha na kitu kizito!!
So nikampiga chini, yule mzee akaendelea kujilia na mtoto akaendelea ku-enjoy vya boss. So kama ni laana alizipata mi sijui ila all i know hakunishinda chochote coz am better now.